1. Engine ☑️ 2. Gear box ☑️ 3. Tairi zote mpyaa ☑️ 4. Haigongi ☑️ 5. Seat covers mpya ☑️ 6. A/C 🚫 7. Ni vizuri kabisa ukija na fundi. 8. Nahitaji Carina Ti, hivo mtu akitaka njoo tuyajenge eidha kwa kubadilishana au kununua. Gari hii imetunzwa sanaa kweli. Inapakigi tu home, ilikuwa ya mather. Kanunua ist na baba prado na mimi ndio nimeishika hii juzi kati tu hapo. Nahitaji Carina Ti.
Posted about 2 months ago
11
2005 Suzuki Swift
Arusha
Price
NEGOTIABLE
N/A (Petrol)
Automatic
1. Injini ☑️ 2. Gear box ☑️ 3. Tairi zote mpyaaa ☑️ 4. Seat covers mpya ☑️ 5. A/C 🚫 6. Haigongi hata kidogo. 7. Bima, oil mpya, na haidaiwi hata kwa chochotee. 8. Full documents. 9. Kama unayo Carina ti tunauvunja.