TOYOTA PASSO YA 2005 INAUZWA -YA KUKATA PIA INAREKEBISHIKA NA KUINGIA BARABARANI *MODEL YA 2005 *USAJILI WA BIASHARA *CC990 *TRANSMISSION NI AUTOMATIC *PUSH TO START *HAINA ANDROID TV *GEARBOX INAHITAJI MAREKEBISHO *ENGINE INAHITAJI MAREKEBISHO KIDOGO SANA *INAYO SEAT COVERS SITI ZOTE *GARI NI FULL AC *INAYO SPORTS RIM TAIRI ZOTE *HAINA BIMA,HAIDAIWI TMS INAUZWA TSH 2,800,000 MAONGEZI YAPO HAINA DALALI NINAEUZA GARI NI MIMI MMILIKI WA GARI 0653209214 TIGO 0758579097 VODA GARI IPO CHANIKA BUYUNI. FULL DOCUMENTS ZA GARI ZIPO