MKOPO WA GARI Pata Gari kwa mkopo na ulipie taratibu kwa muda wa Miezi 18.Tunaagiza Magari ya Biashara na Magari Makubwa na Madogo ya Kutembelea. VIGEZO VYA KUPATA MKOPO. 1.Unalipia Asimilia 50 ya manunuzi ya gari 2.Uwe na Bank Statement au Salary slip za miezi 3 Nyuma 3.Uwe na Kitambulisho Cha kazi Au Kitambulisho Cha NIDA 4.Uwe mfanyabiashara au Mtumishi 5.Uwe na Barua ya Utambulisho Kutoka kazini au Serikali za Mtaa mahali unapoishi 6.Baada ya Malipo ya awali utafanya malipo kila mwisho wa mwezi kwa kipindi cha miezi 18 Baada ya kuchukua Gari yako. 7.Utaandika Barua ya Maombi ya Mkopo Tunapatikana Msasani Dar es salam Kwa mawasiliano Tupigie au Tuma ujumbe kwa Njia ya WhatsApp kupitia Namba 0621325255 Kwa huduma ya Haraka zaidi. Karibuni Sana.